• Michezo

    Ratiba ya Mechi za Yanga NBC Premier League 2024/2025

    Ratiba ya Mechi za Yanga NBC Premier League 2024/2025. Yanga SC inatarajia kuendelea na kampeni zake za NBC Premier League kwa msimu wa 2024/2025. Timu hii yenye historia kubwa ya mafanikio inatarajia kupambana kuhakikisha inabaki kileleni mwa ligi kama ilivyo kawaida yake. Mashabiki wa Yanga kote nchini wanasubiri kwa hamu kuona timu yao ikifanya vizuri kwenye kila mechi. Hakikisha unafuatilia…

    Read More »
  • Michezo

    Makundi Ya CAF Champions League 2024-2025

    Makundi Ya CAF Champions League 2024-2025. Mashindano ya CAF Champions League kwa msimu wa 2024-2025 yanaendelea huku timu bora kutoka barani Afrika zikishindana kuwania taji la kifahari. Timu zilizopangwa katika makundi manne zinajipanga kwa ushindani mkali. Makundi Ya CAF Champions League 2024-2025 Haya hapa ni makundi ya msimu huu: Kundi A: TP Mazembe (DR Congo) Yanga (Tanzania) Al Hilal SC…

    Read More »
  • MichezoKundi La Yanga Sc Klabu Bingwa Afrika

    Kundi La Yanga Sc Klabu Bingwa Afrika 2024-2025

    Klabu ya Yanga SC, maarufu kama “Wananchi,” imepangwa katika Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2024/2025. Katika kundi hilo, Yanga SC itakutana na timu kali kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika. Wapinzani wa Yanga katika kundi hili ni TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Al Hilal ya Sudan, na MC Alger ya Algeria. Kundi La…

    Read More »
  • MichezoKundi La Simba Sc Kombe La Shirikisho 2024/2025

    Kundi La Simba Sc Kombe La Shirikisho 2024/2025

    Droo ya Kombe la Shirikisho Afrika imepangwa muda mchache uliopita jijini Cairo, Misri, kwa ajili ya hatua ya makundi kwa msimu wa 2024/2025. Simba SC, mwakilishi pekee wa Tanzania katika michuano hii, imepangwa Kundi A, ikikumbana na timu zenye uzoefu mkubwa katika soka la Afrika. Kundi La Simba Sc Kombe La Shirikisho 2024/2025 Timu zilizoko katika Kundi A ni: CS…

    Read More »
  • Michezo

    Ratiba Ya NBC Premier League 2024/2025

    Ratiba Ya NBC Premier League 2024/2025, Msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025 tayari umeshaanza, na timu zimeingia uwanjani kwa ushindani wa hali ya juu. Mashabiki wa soka kote nchini wanaendelea kufuatilia kwa karibu. Timu 16 zinashiriki kwenye ligi, na kila moja inataka kufanya vizuri ili kutwaa ubingwa. Ushindani unazidi kuwa mkali kadri msimu unavyoendelea, na mechi nyingi zinajaa…

    Read More »
  • Michezo

    Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025

    Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea kuwa moja ya ligi zenye msisimko mkubwa sana, ikileta ushindani wa hali ya juu kutoka kwa timu kubwa kama Simba SC, Yanga SC, na Azam FC. Msimu wa 2024/2025 umeanza kwa kishindo, kila timu ikipambana kwa nguvu zote kuhakikisha inasalia kileleni au inakwepa hatari ya kushuka daraja. Msimamo wa ligi umeendelea kubadilika kila mara, mechi…

    Read More »
  • Elimu

    245,799 Kunufaika Na Mikopo 2024/2025

    Serikali imetenga TZS 787 bilioni kwa ajili ya jumla ya wanafunzi 245,799 wakiwemo zaidi ya wanafunzi 88,000 wa mwaka wa kwanza waliotengewa TZS 284.8 bilioni. Dkt. Bill Kiwia, Mkurugenzi Mtendaji – HESLB BAJETI YAONGEZEKA Bajeti ya mwaka 2024/2025 imeongezeka kwa TZS 38 bilioni sawa na asilimia 5.1 ikilinganishwa na bajeti ya 2023/2024 iliyokuwa TZS 749.4 bilioni. Mwaka huu pia kiwango…

    Read More »
  • MichezoRamani Mpya Ya Mo Simba Arena

    Ramani Mpya Ya Mo Simba Arena

    Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo baadaye. Akiongea leo October 06,2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Club hiyo. Ramani Mpya Ya Mo Simba Arena Mo Dewji amesema “Hii ni ramani mpya ya Mo Simba Arena,…

    Read More »
  • ZAWhen Is The Next Sassa Payment Increase 2024?

    When Is The Next Sassa Payment Increase 2024?

    The South African Social Security Agency disburses social grants to over 18 million people. Soon, Sassa beneficiaries will see a Sassa payment increase. In February, former Finance Minister Enoch Godongwana announced the Sassa payment increase for 2024 while delivering the 2024 Budget Speech. In just a few months, the South African Social Security Agency (Sassa) will implement another grant increase.…

    Read More »
  • ZACheck Your Sassa R370 Grant Appeal Status

    How to Check Your Sassa R370 Grant Appeal Status for August 2024

    How to Check Your Sassa R370 Grant Appeal Status for August 2024, The South African Social Security Agency (Sassa) recently evaluated millions of applications for the Social Relief of Distress (SRD) grant for August 2024. Many applicants who were initially rejected have submitted appeals. If you’re one of those who appealed the decision, you can now check your Sassa grant…

    Read More »
Back to top button
Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker!