Elimu

  • Matokeo Ya Darasa La Saba Kimkoa 2024

    Matokeo Ya Darasa La Saba Kimkoa 2024 Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limeachia matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba kwa mwaka 2024. Ili kuangalia matokeo haya, fuata maelekezo hapa chini. NECTA Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Matokeo Ya Darasa La Saba Kimkoa 2024 Bofya mkoa husika hapo chini kutazam matokeo:- ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA…

    Read More »
  • NECTA Matokeo ya Darasa la Saba 2024

    Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Kutangazwa Leo na NECTA. Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba kwa mwaka 2024. Matokeo haya yanatarajiwa kwa hamu kubwa na wanafunzi, wazazi, na walimu kote nchini, kwani ni hatua muhimu kwa wanafunzi wanaotamani kujiunga na elimu ya sekondari. Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Darasa…

    Read More »
  • Bei Za Vifurushi Vya AzamTV

    Bei Za Vifurushi Vya AzamTV

    Bei Za Vifurushi Vya AzamTV. AzamTV inatoa vifurushi mbalimbali vinavyokidhi mahitaji ya kila mtu kwa gharama nafuu. Ikiwa unatafuta burudani kwa familia au mashabiki wa michezo, AzamTV inakuletea chaguo bora. Bei Za Vifurushi Vya AzamTV Hapa chini ni bei za vifurushi vya AzamTV na idadi ya chaneli zinazopatikana: 1. Serengeti Package Bei: 35,000 TZS Chaneli: 50+ Maudhui: Pata kila kitu…

    Read More »
  • Majina Ya Wanufaika Mkopo HESLB Awamu Ya Pili

    Majina Ya Wanufaika Mkopo HESLB Awamu Ya Pili. Wanafunzi wa shahada mwaka wa kwanza 30,311, Wanufaika 2,157 mikopo ya ‘Diploma’ Wanafunzi 588 kunufaika na ‘Samia Scholarship’, TZS 99.7 bilioni kutumika kuwagharimia mikopo, ruzuku TZS 2.9 bilioni Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumatano (Oktoba 09, 2024) imetangaza awamu ya pili ya orodha ya wanafunzi wenye…

    Read More »
  • Ufadhili Wa Masomo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM)

    Ufadhili Wa Masomo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Kampuni ya ALAF Limited inapenda kutangaza ufadhili wa ada kwa wanafunzi watatu (3) waliochaguliwa kusoma Programu ya M.A. Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa Mwaka wa Masomo 2024/2025. Ufadhili Wa Masomo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Masharti ya Uombaji: Raia wa Tanzania: Mwombaji lazima awe raia wa…

    Read More »
  • Jinsi Ya Kuangalia Mkopo

    Jinsi Ya Kuangalia Mkopo “SIPA HESLB”

    Jinsi Ya Kuangalia Mkopo “SIPA HESLB”. Student’s Individual Permanent Account (SIPA) ni akaunti binafsi inayotumika kwa ajili ya kuomba mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali nchini Tanzania. Serikali ya Tanzania hutoa mikopo kwa wanafunzi waliokubaliwa kujiunga na vyuo ili waweze kugharamia masomo na maisha yao ya kielimu. Jinsi Ya Kuangalia Mkopo “SIPA HESLB”…

    Read More »
  • HESLB Majina Waliopata Mkopo Awamu Ya Pili

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeanza kutangaza orodha ya wanafunzi wenye sifa waliopangiwa mikopo kwa ajili ya mwaka wa masomo 2024/2025. Awamu hii ya kwanza inajumuisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo ya Shahada ya awali, Shule ya Sheria kwa Vitendo na Shahada ya Uzamili. Wanafunzi kupata taarifa kupitia SIPA Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB…

    Read More »
  • Jinsi Ya Kupata Namba Ya NIDA

    Jinsi Ya Kupata Namba Ya NIDA. Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIDA) ni muhimu kwa kila raia wa Tanzania kwa sababu inatumika katika shughuli nyingi za kiserikali na binafsi kama vile kufungua akaunti za benki, kupata huduma za bima, kupiga kura, na kupata huduma za afya. Ili kuhakikisha kuwa kila raia ameipata na kuitumia ipasavyo, kuna utaratibu rahisi wa kujua…

    Read More »
  • 245,799 Kunufaika Na Mikopo 2024/2025

    Serikali imetenga TZS 787 bilioni kwa ajili ya jumla ya wanafunzi 245,799 wakiwemo zaidi ya wanafunzi 88,000 wa mwaka wa kwanza waliotengewa TZS 284.8 bilioni. Dkt. Bill Kiwia, Mkurugenzi Mtendaji – HESLB BAJETI YAONGEZEKA Bajeti ya mwaka 2024/2025 imeongezeka kwa TZS 38 bilioni sawa na asilimia 5.1 ikilinganishwa na bajeti ya 2023/2024 iliyokuwa TZS 749.4 bilioni. Mwaka huu pia kiwango…

    Read More »
Back to top button
Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker!