Ajira

  • 6 Job Opportunities at TANROADS Lindi

    TANROADS is the government agency responsible for the maintenance and development of Tanzania’s road network. It plays a crucial role in the country’s infrastructure development and economic growth. TANROADS oversees a vast network of roads, including trunk roads and regional roads, ensuring their safety and efficiency. 6 Job Opportunities at TANROADS Lindi TANROADS regularly posts job vacancies for various positions…

    Read More »
  • Taarifa Ya Kusitishwa Usaili Ajira Kada Za Ualimu

    Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilitoa tangazo la kuitwa kwenye usaili Kada za Ualimu tarehe 15 Oktoba, 2024. Tangazo hilo lilikuwa linaonesha kuwa usaili wa Kada za Ualimu unatarajia kuanza tarehe 23 Oktoba hadi 19 Novemba, 2024. Katibu – Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anapenda kuwatangazia waombaji kazi wote wa…

    Read More »
  • Nafasi Za Kazi Tigo Tanzania

    Nafasi Za Kazi Tigo Tanzania. Ikiwa unatafuta fursa ya kujiunga na kampuni ya mawasiliano inayoongoza nchini Tanzania, Tigo inatoa nafasi za ajira kwa mwaka 2024. Tigo ni mtoa huduma mkubwa wa mawasiliano ya simu nchini, anayetoa huduma za ubunifu na za kisasa, pamoja na fursa bora za maendeleo ya kitaaluma. Nafasi Za Kazi Tigo Tanzania Tazama Tangazo hapo chini:- Ikiwa…

    Read More »
  • Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal

    Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal, Ajira Portal ni mfumo wa mtandaoni uliowekwa ili kurahisisha mchakato wa kuomba ajira serikalini na taasisi nyinginezo. Kwa kuzingatia maendeleo ya teknolojia, serikali imeanzisha portal hii ili kuwaunganisha waombaji wa ajira na nafasi za kazi zinazopatikana kwa urahisi zaidi. Ili kuanza kutumia huduma hii, waombaji wanatakiwa kujisajili kwa kujaza taarifa zao muhimu. Usajili huu unatoa…

    Read More »
  • Nafasi Za Kazi TANROADS Morogoro

    Kwa sasa TANROADS Morogoro imetangaza nafasi za kazi katika idara mbalimbali. Nafasi hizi zinatolewa kwa ajili ya wahandisi, mafundi, madereva, na wafanyakazi wa kawaida kwa ajili ya kusaidia katika ujenzi na matengenezo ya miundombinu ya barabara ndani ya Mkoa wa Morogoro. Waombaji wanahitajika kuwa na sifa za kitaaluma zinazolingana na nafasi wanayoomba pamoja na uzoefu. Nafasi Za Kazi TANROADS Morogoro…

    Read More »
  • Majina Ya Usaili Ajira Za NECTA

    Majina Ya Usaili Ajira Za NECTA , Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) anapenda kuwataarifu Watumishi wa Umma walioomba nafasi za kuhamia Baraza la Mitihani kwa njia ya usaili kuwa baada ya uchambuzi wa maombi hayo, waombaji waliokidhi vigezo wanatakiwa kuhudhuria usaili utakaofanyika tarehe 17 Oktoba, 2024 na 18 Oktoba, 2024. Maelekezo Ya Usaili Ajira Za NECTA Wasailiwa…

    Read More »
Back to top button
Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker!